Bwana Harusi Adam Mzee na mkewe Lilian wakiwa wamepozi mara baada ya kufunga ndoa na kufanya sherehe nyao kubwa kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam jana Hongereni sana Bwana Adam Mzee kwa kuachana na ukapera.Bi Lilian Akipozi kwa picha.
Maharusi wakiingia ukumbini Maharusi wakipiga picha na Marafiki.
2 comments:
congratulation
nice blog information
Post a Comment