Monday, August 11, 2014

MAKAMU WA RAIS DR. MOHAMMED GHARIB BILAL ALIPOTEMBELEA BANDA LA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)

1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Gharib Bilal akikaribishwa na Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi  wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika maonyesho ya Nanenane kitaifa yaliyofungwa jana mjini Lindi na Mh. Makamu wa Rais Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal .
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Mohammed Gharib Bilal akisikiliza  maelezo kutoka kwa  Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo mini Lindi.
3-1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  Dr. Mohamed Gharib Bilal akipata  maelezo kutoka kwa  Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo mjini Lindi.
5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr.Mohamed Gharib Bilal akisikiliza  maelezo kutoka kwa  Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo mjini Lindi kushoto ni Waziri wa Kilimo na Chakula Mh. Christopher Chiza na Mkuu wa mkoa wa Lindi Mh. Ludovick Mwananzila.
7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr.Mohamed Gharib Bilal akimuelezea jambo  Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi.
9
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akisikiliza kwa makini huku Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi katika maonyesho ya Nanenane.

No comments:

RAIS SAMIA AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA URUSI IKULU CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rai...