Tuesday, January 01, 2008

Wakenya 30 wachomwa kanisani

Watu 40 waliokuwa wamepata hifadhi katika kanisa moja mjini Eldoret wameuawa baada ya kuchomwa moto. Walipata hifadhi tangu siku mbili zilizopita na wanadaiwa walikuwa wamempigia kura Kibaki. Wameuawa leo saa saba mchana pia kuna wengine 18 wameuawa usiku wa kuamkia leo mjini Mombasa , nyumba semeteketezwa kwa moto kwa taarifa zaidi hebu cheki hapa. Soma BBC kwa taarifa zaidi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...