Tuesday, January 29, 2008

Polisi Kenya waua Mbunge



Mambo sasa Kenya ni mabaya na ripoti za asubuhi hii zinaeleza kuwa mbunge wa chama cha upinzani cha Orange Democratic Movement (ODM) wa Embakassy bwana Mugabe Were ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi.

Mugabe Were, mwanachama wa ODM anadaiwa kushambuliwa nje ya nyumba yake, Polisi wanasema.

Msemaji wa ODM ametaka kuwepo kwa hali ya utulivu hasa katika kipindi hiki kigumu baada ya mbunge huyo kupoteza maisha.

Wakati huo huo ande zinazovutana katika mgogoro wa kisiasa ulioibuka baada ya kutangazwa matokeo nchini Kenya baada ya Tume ya uchaguzi ya nchi hiyo (ECK) kumtangaza Mwai Kibaki kuwa mshindi, ushindi ambao unapingwa hadi leo na Rail Odinga wa ODM anaedai kuwa yeye ndiyo mshindi. bonyeza hapa
http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7214558.stm

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...