Saturday, January 05, 2008

Mambo bado magumu Kenya







Hali bado ni tata huku idadi ya watu waliokufa kufuatia machafuko
yaliyozuka tangu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu kufikia zaidi
ya watu 300, na wengine maelfu kukosa makazi, hapa unaweza kuona mitaa ya KIbera huyu mwana mama katoika Shopping jamaa kampora, kisha kuna vibaka wamevunja duka kule Kisumu, na wengine wanapanda basi kukimbia mji.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...