Thursday, January 24, 2008

Mwai Kibaki , Raila Uso kwa uso






Jamaaa hatimaye wamekutana leo mchana na tabasamu la bandia. hebu waangalie vizuri hawatazaani wala nini. Sijui kama kitaendelea kitu. Hebu Bonyeza hapaupate habari zaidi. Navyo vyombo vya Kenya vilikuwa kimbelembele vikasema hivi hapaupate habari zaidi.

1 comment:

Anonymous said...

hawa ni mumiani, maana ndiyo wanaokunywa damu za wakenya.Mpaka hapo wakenya watakapogundua adui yao ni nani ndo mambo haya yatakwisha!

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...