Tuesday, January 29, 2008

Reginald alipokwenda kuchukua jiko


Kamanda wetu aliyekuwapo Kenya hivi karibuni, danny mwakiteleko akiwajibika huku mzee wa sumo akingoja zamu yake kwa nyuma. Sijui humo ndani ya vyupa kuna karubisi au ni bia.

Ukweni hakuna cha bosi wala nini. wote kubeba mzigo kichwani



Mzee wa Kisima cha Fikra, Reginald Simon akitambulishwa kwa wakweze hakika alionyesha heshima ya ajabu.



Kazi ya ushenga ni kazi kubwa hebu cheki jamaa hapa mtu mzima kapiga magoti akiomba idhini ya wazee.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...