Thursday, January 31, 2008

Balozi wa Marekani atoa somo kwa viongozi



Na Andrew Msechu

BALOZI wa Marekani nchini Mark Green amewataka viongozi na wanasiasa nchi kukubali mabadiliko na kuwa tayari kukosolewa, kwa kuwa ni jukumiu lao kutoa na kupokea kutoka kwa wananchi.

Green, akizungumza katika hafla maalum ya kukabidhi tuzo ya ‘Drum Major for Justice’ kwa Mwenyekiti wa Chama cha wamiliki wa Vyombo vya habari nchini Reginald Mengi iliyofanyika ubalozi wa Marekani jana alisema ni lazima viongozi wawajibike kwa wananchi.

Alisema katika kuwawajibisha watendaji, viongozi wa serikali na wanasiasa, vyombo vya habari vimekuwa vikikutana na hila kadhaa za watu wasiopenda kuwajibika kwa wananchi, akitoa mfano wa matukio ya hivi karibuni baada ya Mhariri wa gazeti la Mwana Halisi kumwagiwa kemikali usoni na mshauri wa taaluma wa gazeti hilo Ndimara Tegambwage kukatwa kwa panga kichwani.

“Katika hili ni wazi kiuwa linapoibuka suala lolote linaloleta mjadala kwa jamii ni lazima milango iachwe wazi, kuwepo na uhuru kwa kila mtu kupata fursa ya kushiriki. Nafasi hiyo inayowapa wananchi fursa ya kushiriki na kutoa mawazo yao haiwezi kufika popote ila kwa kutumia vyombo vya habari,” alisema.

Aliongeza kuwa pamoja na umuimu wa vyombo vya habari katika kuonyesha njia na kupambana na rushwa na ufisadi vimekuwa vikikabiliana na vitisho vinavyoingilia uhuru wa watu kujieleza na uwazi katika serikali.

Balozi Green alisema nchi yake iko tayari kuendeleza juhudi za kuhakikihsa vyombo vya habari vinawajibika kikamilifu katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi na kuendelea kuwa nyenzo ya wananchi kufikisha kilio chao na kuwawajibisha viongozi wa serikali na taasisi za umma.

Alisisitiza kuwa ipo haja kwa wanahabari kuendelkea kupigania mabadiliko bila kuchoka, kama ilivyokuwa kwa Marin Luther King Junior ambaye pamoja na kukutana na vitisho aliendelea kupigania mabadiliko nchini Marekani akitaka kuwepo kwa usawa na haki, nia ambayo ilisukuma mabadiliko hayo hata baada ya kuuawa kwake mwaka 1968.

Akielezea tuzo hiyo, Greena alisema Mengi amekuwa nguzo muhimu katika kiuwezesha uandishi wa habari za uchunguzi na kuwasilisha kilio cha wananchi ambao hawana sehemu nyingine ya kusemea mambo yanayowakera.

“Kupitia vyombo vyake vya habari na kupitia nagasi yake kama Mwenyekiti wa wamiliki wa vyombo vya habari Mengi amekuwa akitoa nafasi kwa wananchi wasiotendewa haki na kuwasaidia kutoa mawazo na malalamiko yao kwa vyombo husika,” alisema.

1 comment:

Anonymous said...

Ni kweli huyo mwafrika alikufa hivi hivi tu au kuna watu wenye mkono hapo? Walianzia biashara ya utumwa kote mashariki( waarabu wengi waliofanya biashara hiyo walikuwa na asili ya kijeuri) na magharibi.
Leo hii waliweka weusi kwenye kazi ya ufisadi-vita iraqi, kisha mweusi wa kike, labda awapenda wanamuke wenzake- afanye kazi ya wajeuri. Sasa wanamlipa mweusi mwingine aingie nyumba nyeupe?? Watamfanyaje??
http://judicial-inc.biz/rosa_parks.htm,
http://judicial-inc.biz/Keith_ellison.htm,
http://judicial-inc.biz/p.aris_aclu.htm,
http://judicial-inc.biz/starbucks.htm
Watu walikufa Tza na Kenya kwenye balozi hizo wengi wao wabongo- kwa mpango wa kuanzisha vita dhidi ya ugaidi. Lakini ugaidi huu ulifanywa na wajeuri.
Watu zaidi ya elfu tatu walikufa kuminamoja mweziwatisa huko marekani. Hakuna kati yao walikuwa wajeuri labda mmoja.
Watu hawaruhusiwi kupeleka kesi zao za kulipiwa fedha za maangamizo kortini.
Wajeuri wote yaani wayahudi waliambiwa wasiende kazini siku hiyo. Wajeuri kadhaa walitengeza pesa kwa kifo cha watu wengi. Wakawasingizia waislamu na wengineo kwa kuwa magaidi na kufanya ugaidi kwao. Kwa jina la vita dhidi ya ugaidi wameanzisha kampeni ya kuwanyima watu uhuru wa kusema. Kwa jina la vita hiyo wanawatesa wote wasemao ukweli. Huyo balozi nchini aweza kuwa mjeuri tu na yeye, au ni ndugu wa wajeuri, au kaoa mjeuri.
Wajeuri hawa wanakupa fedha ukasome nje, au wanakupa fedha za kukampeni kwenye uchaguzi, ili baadaye wakublakmeili, wanakwambia lipa fedha zile tulizokupa au fanya hivi na hivi.
Hebu shime ndugu zangu tuamke.
http://www.geeman-headquarters.com/Hufsmid_Movie.html, http://www.erichufschmid.net/index.html, http://www.seekingtruthnews.com/, http://www.prothink.org/, http://khanverse.blogspot.com/, http://judicial-inc.biz/1_master_supreme.htm, http://www.jewwatch.com/, http://www.iamthewitness.com/
Ndugu jamaa na marafiki hebu amkeni tusimamishe ubabe , ubepari na umbuzi huu.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...