Wednesday, June 08, 2016

MKUTANO WA WAHARIRI NA TANAPA WAMALIZIKA MOROGORO


Mkurugenzi Mkuu  Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Dk.Allan Kijazi, akizungumza na waandishi wa habari walioshiriki mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na wahariri wa habari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali wakati wa kuwakabidhi vyeti vya ushiriki wa mkutano huo uliofikia tamati ukumbi wa Veta mjini Morogoro.
Mkurugenzi Mkuu  Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Dk.Allan Kijazi (kulia), akiwa na viongozi wengine kabla ya kuanza zoezi la kutoa vyeti kwa wanahabari washiriki wa mkutano huo. Kutoka kushoto ni Jaji Tuzo za Habari za Tanapa, Jack Muna, Mwenyekiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Tafori), Dk.Felician Kalahama na Mkurugenzi wa Utalii na Masoko, Ibrahim Mussa.
Mkurugenzi Mkuu  Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Dk.Allan Kijazi (kulia), akimkabidhi cheti cha ushiriki, Mhariri wa gazeti la Jambo Leo, Joseph Kulangwa.
Mwanahabari na Blogger Khadija Kalili akipokea cheti chake.
Mwanahabari Mussa Mukama kutoka gazeti la Dira akipokea cheti hicho.
Mwanahabari Julius Magodi akikabidhiwa cheti chake.
Mhariri Kulwa Karedia wa gazeti la Mtanzania akipokea cheti.
Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari ambaye pia ni Mwenyekiti mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akipokea cheti.
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa akikabidhiwa cheti chake cha ushiriki.
Wanahabari wakimsiliza Dk. Kijazi wakati akifunga mkutano huo.
Wanahabari wakimsiliza Dk. Kijazi wakati akifunga mkutano huo.

No comments:

MAKAMU WA RAIS: TANZANIA INAENDELEA KUTHAMINI USHIRIKIANO NA MAREKANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amepongeza ushirikiano thabiti kati ya Tanzania na Marekan...