Thursday, December 03, 2015

TAZARA YAPOKEA MABEHEWA 18 NA VICHWA 4 KUTOKA SERIKALI YA WATU WA CHINA

tz1Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka akipanda kwenye moja ya vichwa 4 vya treni ya Tazara vilivyotolewa na Serikali ya China.
tz2Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing akizungumza kabla ya makabidhiano
tz3Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga akizungumzia umuhimu wa reli ya TAZARA kwa Tanzania na Zambia.
tz4Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka akizungumzia mustakbali wa TAZAMA katika kujenga uchumi wa Tanzania.
tz7Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) Ronald Phiri akibadilishan hati za makabidhiano ya mabehewa 18 na vichwa 4 vya treni na Makamu wa Rais wa CCECC kutoka Serikali ya Watu wa China Lin Zhiyong.
tz8Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya China.
tz9Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakielekea kupanda kwenye treni ya kichwa na mabehewa mapya ya TAZARA.
tz10Moja ya mabehewa mapya
tz11Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kulia) wakibadilishana mawazo wakiwa ndani ya sehemu ya kulia chakula iliyomo kwenye moja ya behewa jipya.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji TAZARA, Ronald Phiri na Mwakilishi wa Balozi wa China.
tz12Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakiteremka kutoka kwenye moja ya behewa jipya baada ya kusafiri nalo kwa dakika kumi kufanyia majaribio.
tz13Moja ya kichwa kipya na mabahewa 18 mapya yaliyokabidhiwa kwa TAZARA.
tz14Baadhi ya maafisa kutoka Serikali ya Watu wa China na wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA), wakishuhudia utiaji saini wa makabidhiano ya mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China.
Picha na Hussein Makame-MAELEZO
……………………………………………………………………………………………

No comments:

Rais wa Sierra Leone Awasili nchini

Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wak...