Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 3, 2015. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-IKULU)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 3, 2015 PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Dk Reginand Mengi Mwenyekiti wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) wakati wa mkutano na wafanyabiashara Ikulu leo.
Dk Reginand Mengi Mwenyekiti wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) akisoma hotuba yake katika mkutano huo uliofanyika Ikulu leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akitoa salamu zake Kwa Rais Dk John Pombe Magufuli kwa niaba ya wawakilishi wa Mabenki.
Baadhi ya watendaji kutoka serikalini wakiwa katika mkutano huo Kulia ni Katubu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel .
Mkurugenzi Mtendaji wa TSN Bw. Farouqh Baghozah katikati akiwa pamoja na wafanyabiashara wenzake katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe akitoa shukurani zake katika mkutano huo. kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka na mfanyabiashara Nicola Angelo wakiwa katika mkutano huo.
Bw. Octavian Mshiu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya OpenSanit Limited akiwa pamoja na wafanyabiashara wenzake katika mkutano huo.
Bw. Issa Hango kutoka kampuni ya madawa ya Shelys pamoja na wafanyabiashara mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.
Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akielezea ratiba ya mkutano huo kabla ya kuanza.
No comments:
Post a Comment