Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana na kisha kurejea Kongo.
(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment