Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana. Uzinduzi huo upo chini ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi ‘Acha Lugha Chafu na Udhalilishaji Sokoni’ Unaendeshwa na Shirika Equality for Growth (EfG).
Mwenyekiti wa Mtaa wa Matumbi uliopo katika wilaya ya Temeke, Khatibu Lindi, akizungumza katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment