Monday, September 28, 2015

VIJANA WAANZISHA CLUB KUMUUNGA MKONO DKT. MAGUFULI

01
Mratibu wa MAGUFULI Club wilaya ya Temeke Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam Septemba 27, 2015. MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha MapinduziDkt. John Pombe Magufuli.
unnamedC
Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi yaVijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wa kati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam Septemba 27, 2015 . MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwa kutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli.
02
Baadhi wa vijana wakifuatilia uzinduzi wa MAGUFULI Club katika Jimbo la Mbagala  jijini Dar es Salaam.
03
Wanachama wa MAGUFULI Club wakifurahia wakati uzinduzi wa Club hiyo katika Jimbo la Mbagala jana jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...