Saturday, September 19, 2015

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KONDE KASKAZINI PEMBA

1

Naibu katibu Mkuu wa CCM ZanzibarVuai Ali Vuai akizungumza na wanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Konde Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika Mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu,mkutano huo umefanyika katika uwanja wa mpira wa Konde,
Picha zote na Ikulu.
3
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na wanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Konde Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu,mkutano huo umefanyika katika uwanja wa mpira wa Konde,
45
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu katibu Mkuu wa CCM ZanzibarVuai Ali Vuai wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu,mkutano huo umefanyika katika uwanja wa mpira wa Konde,
67
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu,mkutano huo umefanyika katika uwanja wa mpira wa Konde,
8
Kikundi cha Kwaya kitwacho DK.Salmin cha Konde Wialaya ya Micheweni wakitoa burudani wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu pamoja na kuwanadi wagombe wa Ubunge,Uwakilishi na Udiwani  kwa wananchi,mkutano uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Konde,[
9
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Bw.Mberwa Hamadi Mberwa wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika katika viwanja vya Mpira Konde Mjini,sambamba na kuwanadi wagombea ngazi mbali mbali ikiwemo Ubunge,Uwakilishi na Udiwani.
10
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM akiwa na Picha la Mgombea Urais wa Ranzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika katika viwanja vya Mpira Konde Mjini,sambamba na kuwanadi wagombea ngazi mbali mbali ikiwemo Ubunge,Uwakilishi na Udiwani,
11
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakionesha picha za Mgombea Urais wa Ranzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika katika viwanja vya Mpira Konde Mjini,sambamba na kuwanadi wagombea ngazi mbali mbali ikiwemo Ubunge,Uwakilishi na Udiwani,
13
Wajumbe wa jumuiya ya wanawake wa Mkoa wa kaskazini Pemba wakiwa katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Jimbo la Konde Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba  katika uwanja wa Mpira Konde Mjini na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...