Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho katika kikao cha 70 cha Baraza kuu la Umoja wa mataifa katika ukumbi wa Makao makuu ya Umoja huo jijini New York Marekani leo mchana.
(Picha na Freddy Maro)
Serikali na Kampuni ya Barrick Corporation zimeendelea kuimarisha ushirikiano wao wa kibiashara na uwekezaji katika sekta ya madini, huku...
No comments:
Post a Comment