Monday, September 28, 2015

NHC YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA URITHI WA UTAMADUNI WA KALE JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine alisema Shirika hilo liko tayari kufanya kazi na kituo cha kutunza majengo ya kihistoria jijini Dar es salaam (Darch) na wadau wengine kwaajili ya maendeleo endelevu ya kuhifadhi, kutunza na kuendeleza urithi wetu wa kihistoria kwani mtizamo wa Shirika kwa sasa umelenga kuendeleza maeneo ya nje ya jiji kama vile Mji wa Kisasa wa Kawe na ule wa Luguruni. 
Bango la Dar Heritage Days lililokuwa likiwakaribisha wadau kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na wadau wa urithi wa kitamaduni duniani kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na aliyewahi kuwa Meya wa jiji la Dar es Salaam, Kleist Sykes kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam. 
Profesa Adolf Mascharenhas ambaye ni Mwenyekiti wa Marafiki wa Jumba la Makumbusho la Dar es Salaam akichangia mada katika kongamano hilo ambapo hofu yake kubwa ilikuwa ni kutoweka kwa majengo ya kale ambayo ndiyo urithi wa kiutamaduni wa jiji la Dar es Salaam na akaomba wadau kuhakikisha wanapigania sehemu hizo za majengo ya kale zinahifadhiwa.
wadau mbali mbali wakiwa kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine alisema Shirika hilo liko tayari kufanya kazi na kituo cha kutunza majengo ya kihistoria jijini Dar es salaam (Darch) na wadau wengine kwaajili ya maendeleo endelevu ya kuhifadhi, kutunza na kuendeleza urithi wetu wa kihistoria kwani mtizamo wa Shirika kwa sasa umelenga kuendeleza maeneo ya nje ya jiji kama vile Mji wa Kisasa wa Kawe na ule wa Luguruni. 

 Mtaalamu wa masuala ya Usanifu Ardhi, Anita Urassa akizungumza kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na wadau wa urithi wa kitamaduni duniani kwenye Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Utamaduni wa Kale jijini Dar es Salaam. 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...