Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu,Damian Lubuva akizungumza na wamiliki wa vyombo vya habari (hawapo pichani) jinsi ya tume hiyo inavyofanya kazi kuelekea uchagauzi Mkuu katika mkutano ulifanyika leo katika Ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk.Reginard Mengi akichangia maada katika mkutano wa Wamiliki na Vyombo vya habari uliotishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) uliofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Waamiliki wa Vyombo na waandishi habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu ,Damiani Lubuva (hayupo pichani)katika mkutano uliotoshwa na tume hiyo kuelekea uchagauzi Mkuu uliofanyaika leo jijini Dar es Salaam,
(picha na Emmanuel Massaka)
No comments:
Post a Comment