Saturday, May 16, 2015

HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA YAPITISHA SHERIA NDOGO YA MPANGO WA TIBA KWA KADI (TIKA) NHIF


Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Jackson Msome (kulia), akihutubia Baraza la Madiwani lilokuwa likijadili na kupitisha Sheria Ndogo ya kuanzishwa kwa mpango wa Tiba kwa Kadi (TIKA) unaosimamiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupitia mpango huo wakazi kwenye Manispaa ya Bukoba.
2
Diwani, Norberth Katunzi akichangia mada yake katika mkutano huo.
3
Wadau pamoja na viongozi wa Manispaa hiyo wakifuatilia mada kuhusu kuanzishwa kwa Sheria Ndogo TIKA kwenye Manispaa ya Bukoba.

No comments:

UJIRANI MWEMA KATI YA NGORONGORO NA VIJIJI VYA JIRANI WAZIDI KUIMARISHWA

  Na Mwandishi Wetu Naibu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro anayesimamia Uhifadhi, Utalii na Maendeleo ya Jamii, Joas...