Wednesday, April 01, 2015

TASWIRA WAKATI ASKOFU GWAJIMA ALIPOPEWA DHAMANA JANA MCHANA

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam jana mchana akielekea  Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana.
Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na mau.mivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana
Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia 
habari hiyo.
Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana
Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao 
baada ya kupatiwa dhamana
waumini hao wakiwa kituoni hapo.
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiwa wamelizonga gari lililombena Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema yesu yesu baada ya kupewa dhamana  katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam jana mchana.
Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua 
Askofu Gwajima. 
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)

No comments:

TANAPA YAMPONGEZA SIMBU; YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NAE KUTANGAZA HIFADHI ZA TAIFA KUPITIA MCHEZO WA RIADHA

Na. Philipo Hassan, Arusha Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji, amempongeza rasmi Sajini Taji Alphonce Simbu, bingwa wa D...