Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiongozana na viongozi wa dini ya kiislamu (kulia) Mwakilishi wa Mufti wa Tanzania katika Mafunzo hayo Sheikh Abubakar Zuber na kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwinyibaraka Sheikh Issa Othman wakati akilelekea kufungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi wa dini ya Kiislamu ili kuimarisha usalama nchini.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Mwinyibaraka na kufanyika jijini Dar es Salaam juzi.
(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akizungumza na viongozi wa dini ya kiislamu waliohudhuria katika mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi wa dini hiyo.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Mwinyibaraka na kufanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akizungumza na Katibu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa kiislamu Sheikh Khamisi Mataka katika Mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi wa dini ya Kiislamu ili kuimarisha usalama nchini.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Mwinyibaraka na kufanyika jijini Dar es Salaam juzi.
No comments:
Post a Comment