Amesema Tanzania inaunga mkono Tamko lililotolewa na Mwenyekiti wa SADC na AU Rais wa Zimbabwe Mzee Robert Mugabe kuhusu machafuko hayo na hatua ambazo serikali ya Afrika kusini imechukua ili kuzuia yasiendelee. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Wapiga picha kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakichukua picha na taarifa muhimu wakati Waziri huyo akizungumuza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam asubuhi hii.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikini wa Kimataifa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Balozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh ModestJ Mero pamoja na viongozi wengine kutoka wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia mkutano huo.
Baadhi ya wanahabari wakiwajibika.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati akizungumza nao kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
DKT. SAMIA AHIDI KUKAMILISHA DARAJA LA PANGANI NA BARABARA YA KIMKAKATI BAGAMOYO–SAADANI–PANGANI–TANGA
Na John Bukuku, Tanga Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hass...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
No comments:
Post a Comment