Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba mmoja ya nyimbo yenye hisia kali
sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar
sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar
Sony Masamba akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake ambao ni Aneth Kushaba(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sam Mapenzi(Kulia)
Ashura Kitenge akiimba kwa pamoja na Sam Mapenzi mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar
Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake ambao ni Joniko Flower(wa kwanza kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sony Masamba.
Aneth Kushaba AK 47 (kushoto) akiimba sambamba na Sony Masamba mbele ya mashabiki wao (hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiwaimbia mashabiki wa bendi hiyo waliofika kwenye Kiota Cha Thai Village kuburusika na Bendi hiyo.
Waimbaji wa Skylight Band wakizirudi ngoma kwenye kiota cha Thai Village
Msanii wa Skylight Band, Ashura Kitenge akicheza sambamba na mpiga jitaa
Sony Masamba akiimba kwa hisia ndani ya Kiota cha Thai Village
No comments:
Post a Comment