Amiri Jeshi Mkuu Rais Dr.Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania ulioasisiwa na Wazee wetu Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume mwaka 1964 kwa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar, Dr. Jakaya kikwete ameongoza maelefu ya watanzania kwenye uwanja wa Taifa katika sherehe za kuadhimisha muungano huo sherehe zilizohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, Vyama vya Siasa, viongozi wa dini na wananchi wageni waalikwa kwa ujumula.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA WA TAIFA-DAR ES SALAAM)Rais Jakaya Kikwete akiendelea kukagua gwaride la Heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa.Vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama vikiwa vimejipanga katika gwaride hilo.Rais Jakaya Kikwete akirejea jukwaa kuu mara baada ya kukagua gwaride la Heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa.Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu kwa ajili ya kumpokea Rais Dr. Jakaya Kikwete.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda mara baada ya kukagua gwaride la Heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mh. Pandu Ameri Kificho Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar mara baara ya kukagua gwaride la Heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania.Rais Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh, Seif Sharif Hamad mara baada ya kukagua gwaride la Heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania, Kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Gaharib Bilal na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadik.Rais Jakaya Kikwete akiakizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein huku Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiwaangalia kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kulia ni Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal. wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa TanzaniaRais Jakaya Kikwete akipokea heshima kutoka Vikosi vya ulinzi na usalana wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo.Mwenyekiti wa Chama cha TLP Taifa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Mh. Augustino Lyatonga Mrema akiwa ameungana na wageni wengine waalikwa katika maadhimisho ya sherehe hizo.Kikosi Cha bendera kikitoa heshima zake Mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho hayo. Vikosi vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Mh Dr. Jakaya Kikwete.Kikosi cha Mizinga kikipita na kutoa heshima zakeKikosi cha wanamaji wanawake kikipitaKikosi maalum cha walinzi wa viongozi kikipita na kutoa heshima.Kikosi maalum cha mizinga ya kutungulia ndege kikitoa heshima zakeKikosi maalum cha Makomandoo kikitoa heshima zakeKikosi cha makomandoo wana maji kikipita na kutoa heshima.Kikosi cha FFU kikipita Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo.Baadhi ya viongozi wakiwa katika sherehe hizo.Wananchi mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment