Monday, April 20, 2015

MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO

mwe1Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa pili kulia) akimsikiliaz kwa makini Katibu wa wafanyabiashara wa soko la Mburahati, Fikiri Pazi (kulia) wakati akimwelezea kuhusu maendeleo ya biashara wakati wa ziara yake sokoni hapo kuzungumzia kuanza kwa ajili ya mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni Naibu Meya, songoro Mnyonge na viongozi mbalimbali. (Na Mpigapicha wetu).mwe2Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (katikati) akiongozwa na viongozi wa soko la Mburahati kukagua mipaka ya soko hiyo wakati alipofanya ziara sokoni hapo na kukutana na wafanyabiashara kwa ajili ya  mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Naibu Meya, songoro Mnyonge, Katibu wa wafanyabiashara wa soko hilo, Fikiri Pazi (kulia) na viongozi wengine. (Na Mpigapicha wetu).mwe3Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kushoto) akiongozwa na Katibu wa soko la Mburahati, Fikiri Pazi kukagua mipaka ya soko hilo wakati alipofanya ziara sokoni hapo na kukutana na wafanyabiashara kwa ajili ya  mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. (Na Mpigapicha wetu).mwe4Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikagua mipaka ya soko la Mburahati, wakati alipofanya ziara sokoni hapo mwishoni mwa wiki na kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo Dar es Salaam. (Na Mpigapicha wetu).mwe5Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na wafanyabiashar hao kwa ajili ya kuzungumzia mradi w wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. (Na Mpigapicha wetu).mwe6Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akisisitiza jambo kwa viongozi wa soko la Mburahati wakati alipofanya ziara sokoni hapo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo. Kushoto kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge, Katibu wa wafanyabiashara wa soko hilo, Fikiri Pazi na wafanyabiashara wengine. (Na Mpigapicha wetu)mwe7Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge. (Na Mpigapicha wetu).

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...