Friday, April 10, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA LISHE DAR ES SALAAM

 02
Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungua mkutano unaohusu lishe uliowakutanisha wataalamu wa lishe kutoka mataifa mbalimbali uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).
01
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaoshiriki mkutano unaohiusu lishe bora unaoratibiwa na Sun Lead Group’s Visioning Sub Group(VSG) uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

No comments:

RC CHALAMILA ATOA SIKU SABA KWA MUAFAKA WA MGOGORO WA ARDHI TOANGOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa muda wa siku saba kwa wadau wanaohusika na mgogoro wa muda mrefu wa ardhi katik...