Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baba wa Waziri Mkuu Mzee Xavery Kayanza Pinda Ikulu ya Chwamino leo mara baada ya JK kumwapisha mwanae kuwa Waziri Mkuu. Katikati ni mama mzazi wa Waziri Mkuu bibi Albetina Kasanga.
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Waziri Mkuu mpya Mizengo Pinda Chamwino.
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Waziri Mkuu mpya Mizengo Pinda Chamwino.
Waziri Mkuu mpya Pinda akipongezwa na Waziri Mkuu aliyepita kabla yake Lowassa mara baada ya kuapishwa jana Ikulu ndogo ya Chamwino, Dodoma. (Picha zote hizi za http://issamichuzi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment