Friday, February 15, 2008

Bush welcome to Tanzania

Jamaaa hawa waliamua kuchanachana bendera
Hawa walikuwa na uchungu ile mbaya

Hapa wanakaribia kuingia Jangwani
Waandamanaji wa kiislamu kibao wakimkaribisha Bush kwa staili ya aina yake, cheki hapa watu kibao



Walikuwapo pia vijana, vibabu na watu wengine kibao tuu na walitembea umbali mrefu sana.





Kina mama pia hawakubakli nyuma






Oyaaaa huyu Bush vipi, ndivyo wanavyoonekana kusema waandamanaji hawa.




No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...