Friday, February 08, 2008

Baraza la mawaziri jipya kutangazwa Jumatatu

Baraza jipya la mawaziri wa Tanzania litaapishwa Jumatatu mchana na kisha mawaziri hao kuapishwa Jumatano asubuhi hapo hapo Dodoma.

Taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge la Tanzania Samwel Sitta zinasema kuwa mawaziri hao wataapishwa Jumatatu na kuapishwa Jumatano.

"Taarifa nilizozipata za uhakika leo hii kutoka katika vyanzo vya kuaminika kabisa vya habari ni kwamba baraza la mawaziri jipya litatangazwa Jumatatu na kuapishwa Jumatano ... tafrija ya kumpongeza ninavyojua kwa taratibu za mawaziri wakuu hawa huwa zinalipiwa binafsi hivyo kazi kwake,"alisema Sitta.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...