Wednesday, February 13, 2008

Baraza Jipya la Mawaziri



Baraza jipya la mawaziri

Waziri Lawrence Masha akiapa

Waziri John Magufuli akiapa


Mambo ya kiapo bwana magumu kichizi, Wazri Dk Diodorus Kamala alisahau kukabidhiwa katiba mara baada ya kuapa, kituko chenyewe kilianza hivi aifika kwa rais akashika biblia aaapa na mara baada ya kuapa akatia saini kiapo kisha akampa mkono rais , akageuka na kutimua kabla hajapewa katiba.



Waziri asha naye akafanya kituko eti akaapa akitumia kiswaili chake cha kimarekani, lakini cha ajabu alipomaliza akasahau kusema ewe Mungu nisaidie na akataka kuondoka, lakini wote wawili waliapishwa kabla ya kuondoka na wakatimiza tartibu zooote mambo ya kiapo hayo ndugu zangu. Picha ya Father Kidevu.


No comments:

MAJALIWA: FANYENI TAFITI ZENYE TIJA KWA WANANCHI

Dar es Salaam, 18 Juni 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa watafiti na wapangaji wa s...