Saturday, February 16, 2008

Ziara ya Bush Afrika


Rais Bush alipokuwa akiondoka ikulu ya White House , Marekani leo asubuhi
Hapa keshawasili nchini Benin akija Tanzania hebu cheki lidege lake


Kisha akafika hapa


Akakagua gwaride la heshima, habari zaidi za hapa Tanzania utazipata baada ya muda kidogo just angalia hapa

2 comments:

N N said...

Rais kichaka ameua watu maelfu na maelfu ili awaridhishe makaburu wa kiyahudi uko nchi ya wafilisti. Kwa nini apewe heshima kubwa hivyo. Kwa nini serikali itumie pesa nyingi hivyo kumkaribish wakatu watu hawana chakula sehemu mbalimbali tanzania?
Angalia mambo haya kuhusu wayahudi makaburu ambao wananunua nchi yetu na makampuni ya umma kwa uongo hivi leo. Nchi yetu itaharibika. Busara za mwl. Nyerere kufunga rasilimali zetu zisiibiwe na makaburu zinasahaulika. Hatari hii.
http://khanverse.blogspot.com/2008/02/diamonds-are-4eva.html

Anonymous said...

Babu wa raisi huyo alijishirikisha kwa nguvu zote kusaidi ubabe wa Hitler.
Naye anatumia ubabe kuwaua watu wasio na hatia hata kidogo kwa sababu tu anataka kuwa tajiri zaidi. Yanasikitisha haya.
http://video.google.com/videoplay?docid=-1583154561904832383,
http://video.google.com/videoplay?docid=-7336845760512239683

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...