RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya msahafu na
Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir (Mwalimu Aliyani)
ambae ni Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani, Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar 8-2-2025,baada ya kumaliza mazungumzo alipofika
nyumbani kwake mtaa wa mchangani kwa ajili ya kumtembelea na kumjulia
hali yake.(Picha na Ikulu).
Monday, February 10, 2025
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMTEMBELEA MWALIMU ALIYANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAMIA AZINDUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WFNS, ATEMBELEA MAONESHO YA SEKTA YA AFYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akitembelea mabanda ya maonesho ya wadau wa Sekta ya Afya kabla ya k...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Pascal Mayalla akiwa katika chumba cha wagonjwa Daraja la kwanza katika hospitali ya mkoa wa Dodoma ambako amelazwa kwa matibabu baada ya ku...





No comments:
Post a Comment