Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungungua tawi la Benki ya Posta la Songea akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2016. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Uratibu, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitazama kadi ya akaunti yake ya Benki ya Posta Tanzania aliyokabidhiwa baada ya kuifungua alipokuwa akifungua tawi la Benki hiyo la Songea Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassi Majaliwa akiagana na watuishi wa Benki ya Posta, Tawi la Songea baada ya kufungua tawi lao Januari 4, 2016. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikabidhiwa silaha za jadi na mzee Daniel Gama baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Maposele na kukagua ujenzi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya mila ya kabila la Wangoni wakati alipowasili kwenye kijiji cha Maposele na kukagua ujenzi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua ujenzi wa Jego la Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Maposele wilayani Peramiho baada ya kukagua ujenzi wa jingo la Ofisi ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2016. (PIcha na Ofisi a Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment