Wednesday, December 02, 2015

BALOZI SEFUE AWAAGIZA WATUMISHI WA UMMA KUVAA BEJI ZENYE MAJINA YAO WAWAPO KATIKA MAENEO YAO YA KAZI

  Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue akiwaonyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) beji yenye jina lake ambayo amewaagiza watumishi wa Umma kuivaa wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Balozi Sefue alifanya mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam jana na kutoa taarifa ya Serikali kuhusu kesi ya Serious Fraud Office (SFO) dhidi ya Standard Bank.

No comments:

Kiwanda cha Tansalt Tanga, Mwarobaini wa Soko la Madini ya Chumvi Nchini

  ☑️ Kiwanda kina uwezo wa kuzalisha tani 5 hadi 8 kwa saa. 📍 Tanga Kiwanda cha Tansalt kilichopo mkoani Tanga kimekuwa msaada mkubwa kwa w...