Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofika kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mkoani Rukwa, wakiishangilia Ndege iliyombeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili Uwanjani hapo,jana Septemba 2, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, RUKWA.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Ikuo Malila, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa, jana Sepremba 2, 2015.
No comments:
Post a Comment