Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Mwakilishi
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez kuhusu masuala
mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN)
Tanzania. Rodriguez alimtembelea Waziri
Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wednesday, April 08, 2015
MWAKILISHI MKAZI WA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM LEO
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimsikiliza Mwakilishi
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez (kulia), wakati
kiongozi huyo alipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,
kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na ofisi ya
Umoja wa Mataifa (UN) nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi wa
Wizara hiyo, Harrison Mseke, anayefuata ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Joyce Mends-Cole.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UJIRANI MWEMA KATI YA NGORONGORO NA VIJIJI VYA JIRANI WAZIDI KUIMARISHWA
Na Mwandishi Wetu Naibu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro anayesimamia Uhifadhi, Utalii na Maendeleo ya Jamii, Joas...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
No comments:
Post a Comment