Siku ya Wanawake ya Zain
Waziri wa nchi, ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, (wa pili kulia)akijumuika na wafanyakazi wa Kampuni ya Zain Tanzania leo jijini Dar es Salaam wakati wa matembezi ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Matembezi hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania.
Comments