Shule ya Sekondari Milambo
Hebu angalia picha hii vizuri kabisa kwa mbali unaweza kuona 'Mzee wa Mshitu' katika picha ya juu wa kwanza kushoto na katika picha inayofuata wa pili kushoto, nyuma ya jengo unaweza kuona Jengo la sekondari ya Milambo. Hapa ama kweli ndo yalikuwa maeneo mzee wa mshitu alipopatia elimu yake ya O level kabla ya kuendelea zaidi.
Comments
Cheers frm USA...
Kikapu umeacha siku hizi mzee?maana hata kwenye ma bonanza honekani