Askari aliyekataa rushwa
Askari namba E. 7235 PC John Anthony Mwesongo wa kituo cha polisi cha Polisi Kiwa cha ndege cha Mwalimu Julius Nyerere ambaye ni mtunza vielelezo wa kituo hicho, akionyesha hundi ya T. Sh. 4,000,000 motisha baada ya kukataa rushwa ya dola za kimarekani 3,000 na watu waliokamatwa na madawa ya kulevya waliomtaka abadilishe vielelezo hivyo. Hundi hiyo alikabidhiwa na Inpekta Jenerali wa Polisi (IGP), Saidi Mwema Jana katika ukumbi wa maofisa wa polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam. (Picha Na Hassan Mndeme- Jeshi la Polisi)
Comments