
Hebu cheki taka zilivyorundikana katika maeneo mbalimbali ya jiji yaani ni noma na hiki kirundo ni kidogo saana katika jiji hili la Dar es Salaam, au unasemaje msomaji?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema matumizi ya mifumo ya kisasa ya teknolojia ni chachu kati...
No comments:
Post a Comment