Tuesday, July 15, 2008

Masikini mama yangu


Masikini bibi yangu sijui anatapona ili anipikie uji nina njaa kwelikweli, ndivyo anavyoonekana kuwaza mtoto huyu mdogo ambaye alikutwa hivi karibuni huko temeke akimuuguza mama yake. Picha kwa hisani ya mdau wa blogu hii.
Caption sahihi : Mtoto Calvin Kika wa Tandika Temeke ambaye akimtazama kwa uchungu bibi yake Elizabeth Nyello wakati
amewekewa dripu ya kupunguza makali ya dawa juzi alizotumia dawa aina ya ldomet, Cimetidine, Amoxlin,Lasix, Metronidazole na Magnesium za kutibu B/P, kutema mate na uvimbe alizopewa hivi karibuni katika hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam.
Picha hii ilipigwa na Zawadi Kika. Simu na mawasiliano naye naendelea kuyatafuta nitawapatieni nimepoteza kidogo.

3 comments:

Anonymous said...

Eeeh Mungu, mponye mama huyu arudi nyumbani alee mwanae. Amina

Unknown said...

NICE PIX, IT TELLS ALOT. KEEP IT UP MAN.

Anonymous said...

kaka nimetuma mail naona hujapata hebu tuwasiliaane kupitia
haki.yako@gmail.com
asante
Haki

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...