Sunday, July 06, 2008

Samaki


Baadhi ya akina mama wa kata ya Bassotu wilayani Hanang wakiwa wanauza samaki ambazo zinavuliwa katika bwawa la bassotu na kuuzwa kila samaki shillingi 100 haata hivyo mmoja wa akina mama hao, Agnes Sumari kati kati aliomba serikali kuwasaidia mikopo ili kupanua biashara yao. Picha ya Mussa Juma

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...