Friday, July 04, 2008

Car Wash Charity hiyooo

Nargis Mohammed
Jeniffer John
Lissa Jensen

JE UNATAKA KUOSHEWA GARI LAKO NA WAREMBO?!! KAMA NDIO NA UNA NIA YA KUCHANGIA WANAWAKE WANAOSUMBULIWA NA UGONJWA WA SICKLE CELL, FIKA LEADERS CLUB SIKU YA JUMAMOSI YA TAR 5 MWEZI HUU. NA GARI YAKO ITAOSHWA KWA 20,000 TU NA UKITAKA KUJA KUONA ZOEZI HILO UTACHANGIA 10,000 NA MISOSI NA BURUDANI NYENGINE ZITAKUWEPO!!NAWE MSICHANA MWENYE NIA YA KUJITOLEA KUUNGANA NA WAREMBO HAO UNAKARIBISHWA KWA KUWAONA WAANDAJI AMBAO NI VISION FOR TANZANIA AMBAO NI JENIFFER JOHN NA NARGIS MOHAMED. Kwa Hisani ya Haki Ngowi

1 comment:

Anonymous said...

MZEE WA MSHITU MTAKE RADHI MICHUZI KWA KUSEMA PICHA HIZI NI KWA HISANI YA HAKI NGOWI. HUYO JAMAA KAIBA HIZO PICHA KWA MICHUZI NA ANAJIFANYA ZAKE. KWANZA HAYUKO HUKO BONGO, TUNAYE HAPA INDIA AKISOTA BADA YA KUMALIZA SHULE, KURUDI KWAO HATAKI, KAZI KUIBA MAPICHA YA WATU KUBANDIKA KWENYE KABLOGI KAKE UCHWALA AMBAKOM KILA KITU ANAIGA KWA MICHUZI. KAMA UNABISHA MUULIZE JENNIFER JOHN NANI KAWAPIGA HIZO PICHA SIKU KIBAO ZIMEPITA. MWAMBIE AKOME KUTAKA MAUJIKO KWA NGUVU KILAZA HUYO

AGNES LYARUU

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...