Monday, October 02, 2017

SYLVESTER LUBALA ATIMIZA MIAKA 71 YA NDOA NA MKEWE CECILIA LUBALA

 Katibu wa Chama cha Mashujaa wliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala wakipunga mkono kwa wageni waalikwa wakati wa hafla yao ya kutimiza Miaka 71 ya ndoa iliyofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na watu maharufu na Viongozi wa kitaifa


 Naibu Waziri wa Afya nyumba na Maendeleo ya makazi Angelina Mabula akimuweka Sawa mama yake wakati wa hafla ya kutimiza miaka 71 ya ndo yao mara baada ya vita kuu ya pili ya Dunia
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi , William Lukuvi akiwa na Mkewe wakitoa pongezi kwa Mzee Sylvester Lubala mara baada ya kutimiza miaka 71 ya ndoa 
  Katibu wa Chama cha Mashujaa wliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wao 18 wakati wa hafla ya miaka 71 ya ndoa 
  Katibu wa Chama cha Mashujaa wliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala akiwa katika picha ya pamoja ya Mawaziri waliofika katika hafla yake ya miaka 71 ya ndoa
  Katibu wa Chama cha Mashujaa wliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  Katibu wa Chama cha Mashujaa wliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala akigonga glass na wazee wenzie wa Tanzania Region wakati wa hafla ya kutimiza miaka 71 ya ndoa
  Katibu wa Chama cha Mashujaa wliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala wakijianda akula keki ya miaka 71 ya ndoa katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam
  Katibu wa Chama cha Mashujaa wliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala akiwa katika picha ya pamoja ya Wajukuu na Vitukuu waliohudhulia hafla ya miaka 71 ya ndoa yake
 Mkurugenzi wa Dira Televisheni na Msama Promoton, Alex Msama akihojiwa na moja wa Watangazaji wa kipindi cha Chereko kinachorushwa na TBC 
  Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Angelina Mabula akiwa na Wadogo zake wakati wa hfla ya kutimiza miaka 71 ya ndoa ya Baba yake
  Mkurugenzi wa Dira Televisheni na Msama Promoton, Alex Msama akiteta jambo na Mzee Gachuma wa Mwanza wakati wa hafla  hiyo
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni , Ally Api akigonga glasi na Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala wakati wa hafla ya kutimiza miaka 71 ya ndoa yao


No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...