Thursday, October 26, 2017

MKURUGENZI MKUU ATEMBELEA OFISI MBALIMBALI NHC MAKAO MAKUU AHIMIZA UWAJIBIKAJI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikagua baadhi ya mafaili kwenye ofisi za masjala zilizopo ghorofa ya pili ya NHC ametoa wito kwa wafanyakazi kujituma katika kufanya kazi kwa ufanisi na kuongeza ubunifu. Ameyasema hayo baada ya kufanya ziara ya kawaida katika ofisi mbalimbali makao makuu ya Shirika.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikagua baadhi ya mafaili kwenye ofisi za masjala zilizopo ghorofa ya pili ya NHC
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na Meneja Manunuzi-Miradi, Nyelu Patson Mwamwaja alipotembelea ofisi zilizopo ghorofa ya nne makao makuu.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wafanyakazi wa NHC wa kitengo cha Utawala ghorofa ya nne.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wafanyakazi wa kitengo cha mawasiliano na huduma kwa jamii makao makuu.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akisalimiana na Neema Msitta wa Kitengo cha Rasilimaliwatu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na Sophia wa kitengo cha Uendelezaji Miliki wa NHC.


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Meneja wa Uendelezaji Biashara wa NHC, William Genya.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifurahia jambo na Manning Malwaka wa Kurugenzi ya Ubunifu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifurahia jambo na Mark Sallu wa Kurugenzi ya Fedha.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...