Monday, October 16, 2017

PUGU SEKONDARI WAFURAHISHWA NA UKARABATI UNAOFANYWA NA NHC KWA UFADHILI WA SERIKALI

Mgeni rasmi (Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa) katika mahafali ya kidato cha nne ya Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam, Muungano Kasibi Saguya akitembezwa katika mabweni na madarasa yanayofanyiwa ukarabati na Shirika chini ya ufadhili wa Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kuona shughuli hiyo ilivyokamilika mara baada ya kukamilika shughuli ya mahafali hayo iliyofanyika Ijumaa wiki iliyopita. Wanafunzi na walimu wa shule hiyo wamefurahishwa sana na kasi ya utekelezaji wa ukarabati wa shule hiyo na wameiomba Serikali kuzijali shule zingine kongwe kama hiyo ili kuweza kutoa matokeo bora kama ilivyokuwa zamani. Shirika la Nyumba la Taifa limeshinda zaburi ya kukarabati shule tano za Sekondari za Serikali za wanafunzi wa vipaji maalumu za Pugu, Mzumbe, Kilakala, Msalato na Mwenge na zote ukarabati wake umekamilika ndani ya muda uliopangwa.
Mgeni rasmi (Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa) katika mahafali ya kidato cha nne ya Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam, Muungano Kasibi Saguya akimpongeza Msemaji wa Shirikisho la Mira wa Miguu nchini (TFF), Alfred Lucas mara baada ya Msemaji huyo kugawa mipira kwa wanafunzi kwa lengo la kuboresha afya za wanafunzi wa Pugu Sekondary.
Wahitimu wa kidato cha nne wa Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea katika mahafali hayo. Matokeo ya Kidato cha nne yamekuwa yakiboreka katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni kutokana na mkakati wa serikali kuiboresha shule hiyo na zingien zenye hadhi kama hiyo.
Wanafunzi wa Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam akifanya maonyesho ya mchezo wa sarakasi, pichani juu ni kijana IDD wa shule hiyo ambaye pia ni mcheza sarakasi. Shule ya sekondari Pugu ni mojawapo ya shule zinazotoa elimu Jumuishi kwa maana ya kuwachukua wanafunzi walemavu kutoka shule mbalimbali nchini waliofanya vizuri katika mitihani yao.
Wanafunzi wa Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam akifanya maonyesho ya muziki wa Bongo Fleva mbele ya meza ya mgeni rasmi.
Wanafunzi wa Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam akifanya maonyesho ya muziki wa Bongo Fleva mbele ya meza ya mgeni rasmi.
Mgeni rasmi (Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa) katika mahafali ya kidato cha nne ya Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam, Muungano Kasibi Saguya akimpongeza mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne wa shule hiyo.

Mgeni rasmi (Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa) katika mahafali ya kidato cha nne ya Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam, Muungano Kasibi Saguya katika picha ya pamoja na walimu wa shule hiyo.
Picha ya angani ya Shule kongwe ya Sekondari ya Pugu ya jijini Dar es Salaam iliyokarabatiwa na Shirika la Nyumba la Taifa.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...