Tuesday, October 03, 2017

RAIS WA CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) AONGOZA KIKAO CHA WAUGUZI HAO MKOANI LINDI

Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (katikati) akifungua kikao cha kamati ya Mkutano Mkuu wa 45 wa maandalizi ya chama hicho Mkoani Lindi jana. kulia ni Mwenyekiti wa chama cha hicho Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Mwenyekiti wa chama cha Wauguzi (TANNA) Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota (kulia), akizungumza jambo wakati wa kikao hicho, kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga na Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa.
Viongozi mbalimbali na wajumbe wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa Chama cha Wauguzi (TANNA), Paul Magesa alipokuwa akizungumza jambo.
Viongozi na wajumbe wakifuatilia kwa umakini.
Wajumbe wa Mkutano huo wakisikiliza kwa umakini.
Dokt. Sophia Khaify (kulia) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania, Paul Magesa mara baada ya kufunga kikao hicho cha Kamati ya Maandalizi jana.
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (kulia) akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge, anaye shuhudia katikati ni Makamu wa Rais wa Chama hicho, Ibrahim Mgoo.
Makamu wa Rais wa Chama cha Wauguzi (TANNA), Ibrahim Mgoo (kulia), akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge akizungumza jambo na viongozi mbalimbali wa chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), pichani hawapo.

2 comments:

Anonymous said...

naviguez vers ce site sacs de répliques en Chine à propos de son réplique gucci sa réponse YSL Dolabuy

smatha said...

cliquez pour enquêter YSL Dolabuy suivant Dolabuy Goyard cliquez sur ce site dolabuy louis vuitton

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...