Rais Dk. John Magufuli akipokea hati ya utambulisho kwa Balozi mpya wa China hapa nchini Wang Ke, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John akitazama vitabu alivyokabidhiwa na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, Ikulu jijini Dar es Salaam
Balozi wa China hapa nchini Wang Ke akipigiwa nyimbo za Mataifa ya China na Tanzania katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, baada ya kuwasili kukabidhi hati zake za utambulisho.
Rais Dk. John Magufuli akipokea hati ya utambulisho kwa Balozi mpya wa Uholanzi hapa nchini Jeroen Verheul Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akiagana na Balozi mpya wa Uholanzi hapa nchini Jeroen Verheul baada ya kupokea hati zake za utambulisho, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akipokea hati ya utambulisho kwa Balozi wa Oman hapa nchini Ali Al Mahruqi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akiwa na Balozi wa Oman hapa nchini Ali Al Mahruqi baada ya kupokea hati zake za utambulisho, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akizungumza na Balozi wa Oman hapa nchini Ali Al Mahruqi baada ya kupokea hati zake za utambulisho, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi mpya wa Oman hapa nchini Ali Al Mahruqi akipigiwa nyimbo za mataifa ya tanzania na nchi yake baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam kuwasilisha hati zake.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment