Tuesday, October 03, 2017

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Meneja wa Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Itandula Gambalagi kabla ya kufanya  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Nyerere International conversion Centre Jijini Dar es salaam Oktoba 3,2017. Rais Magufuli alitembelea na kupata maelezo katika mabanda mbalimbali ya maonyesho likiwamo la NHC.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Afisa Mwandamizi wa Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Emmanuel Lyimo kabla ya kufanya ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Nyerere International conversion Centre Jijini Dar es salaam Oktoba 3,2017

Maafisa wa NHC wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kufanya  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Nyerere International conversion Centre Jijini Dar es salaam Oktoba 3,2017. Rais Magufuli alitembelea na kupata maelezo katika mabanda mbalimbali ya maonyesho likiwamo la NHC.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia hoja mbalimbali wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Nyerere International conversion Centre Jijini Dar es salaam Oktoba 3,2017

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...