Waziri Lukuvi akikagua Ofisi mpya ya Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilayani Lushoto mkoani Tanga baada ya kuizindua jana asubuhi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwahutubia wananchi wa wilayani Lushoto mara baada ya kuzindua ofisi mpya za Baraza la Ardhi wilayani Lushoto jana.
Jengo lililo na Ofisi mpya za Baraza la Ardhi Wilayani Lushoto mkoani Tanga linavyoonekana katika picha.Samani zilizopo kwenye ofisi za Baraza la Ardhi wilayani Lushoto Mkoani Tanga linavyoonekana pichani.
Samani zilizomo ndani ya jengo hilo la Baraza la Ardhi wilayani Lushoto zinavyoonekana.
Akipokea mchango wa wadau wa Usambara Investment waliojitolea rima 10 za karatasi kwaajili ya matumizi ya ofisi hizo.
Akisikiliza malalamiko ya mmoja wa wakazi wa Wilaya ya Lushoto mara baada ya kuzindua ofisi mpya za Baraza
Samani zilizomo ndani ya Ofisi za Baraza la Ardhi.
No comments:
Post a Comment